saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 640
- 1,517
MOJA ya Jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kuchunguza Malalamiko au tuhuma zinazotolewa na wananchi dhidi ya kiongozi fulani wa umma, Mwigulu Nchemba amekuwa akituhumiwa na wananchi kuwa na ukwasi uliopitiliza huku wapi alikozitoa mali hizo ikibaki kuwa utata.
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma mna kauli gani kuhusu tuhuma za Mwigulu kumiliki mali nyingi bila kujulikana chanzo chake ni nini.
Nimemsikia Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akiimba Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuanzisha uchunguzi dhidi ukwasi alionao WAZIRI wa Fedha Mwigulu.