Sekretarieti ya CCM: Hatua ya kwanza

wasalimie hapo mtaa wa ufipa.

 
Conflict of interest; mgongano wa kimaslahi; kwa vile sekretariat wamo wanaoyataka hayo majimbo!
 

Mzee Tupa...hapo palipo na wino mwekundu ndipo wamesema UKWELI maana ni vyema waanze kujifariji na kujipanga 'kisaikolojia'....! wameshajitambua kuwa UKAWA haitawaacha 'hai' mwaka huu,...maana hata hizo nafasi za kuteuliwa na rais wao ni barafu tu, ...joto la UKAWA likikolea hii kitu inayeyuka..!
 

mbona hiyo iko wazi,sisi tunachosubiri ni jina la EL,mengine ni usanii wa delay tactics
 

Nafasi za mabalozi pia zipo!!!
 
Kwa hio Mzee Six OUT.....!!!

Mkuu mimi najiuliza Joka la Mdimu maadui wake 11 atawamaliza vipi kama hata ubunge wenyewe atakosa? Hapa si ni yeye atakayemalizwa, amaa????

BACK TANGANYIKA
 

Kuna majina matatu umeteleza.
Prof Anna Tibaijuka, Dr Harrison Mwakyembe na Dr Asharose Migiro, hawa wote hawajawahi hata siku moja hata kuonesha nia ya kuutaka urais. Acha kupotosha umma.
 

Sijawahi kukuamini tangu ulimwengu kuumbwa ila kama ccm watakua wamesema haya hakika nitaamini chama kina watu wanaakili ambazo sijawahi kuona wote wataikimbia nafasi hiyo na kubaki nawaona wa tano tuu nao ni

LOWASSA
MEMBE
PINDA
MWANDOSYA
MAGUMU I
SITA
KWISHA KAZI WENGINE WOTE WANAJUA URAIS HATA WAFANYEJE HAWAPATI
 

Huyo ni Bavicha
 

MKUU Vuta nikuvute naomba nikuulize kitu,je wale waliotangaza nia ya Uraisi na Pia wakasema wakikosa Uraisi watarudi Kugombea Ubunge! Tena wengine wapo kamati kuu,je na Wao hii inawahusu?Sidhani Kama itapita hii,
 

Sasa sijui kama mara hii watawaahidi tena Watanzania Waislamu Mahakama ya KADHI na Waislamu wawakubalie. Tamthliya imeanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…