Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma kwa kweli imekuwa haitendei haki hasa kwa wahitimu na vijana wote wasakao ajira,hususani watokao mikoani kwani usaili wote ufanyikia dar i.e usaili wa mchujo,vitendo na usaili wa mahojiano na mara nyingi full usail uchukua mpaka siku tatu au nne kumalizika..Huu mfumo umekuwa sio rafiki hasa kwa vijana watokao mikoani:
Mfano: Mtu anatoka Kigoma mpaka dar,na tukumbuke hii ni taasisi ya serikali:
Binafsi nashauli usail ufanyike kikanda.
Mfano: Wasailiwa wote wanaotoka kanda ya ziwa kituo kiwe MWANZA
Wasailiwa wote wanaotoka kanda Kaskazini kituo kiwe Arusha.
Ili hata tuwapunguzie gharama na hadha zingine kwa vijana wetu: