Sekretarieti ya Ajira kwa hili mmetuonea

SANGAPIPI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
210
Reaction score
325
Habari za usiku,naamini watu wa sekretarieti ya ajira na nyie huwa mnapita humu basi tunaomba sana mlione hili..wiki iliyoisha mlitoa majina ya usahili kwa wathamini na maafisa ardhi...wale wa uthamini ni waliosoma land management and valuation ambapo interview ni jumatano trh 20..lakin pia tarh 25 mlitangaza kutakuwa na usahili wa maafisa ardhi ambao ni mchanganyiko wa watu waliosoma sheria na watu wa land management and valuation..Cha kushangaza jioni hii mmetoa tangazo katika website yenu kuwa wale waliotakiwa kufanya usahili wa kada ya afisa ardhi ambao wamesoma land management and valuation hawatafanya usahili huo bali watafanya wa uthamni....Naomba mzingatie yafuatayo tafadhali.....
1.Sio watu wote waliosoma land management and valuation waliomba nafasi ya uthamin wapo walioomba ya uafisa ardhi
2.Mmetoa tangazo jioni ya leo katika tovuti yenu kwa kushtukiza..kunbukeni kuna watu wapo bukoba na walijua wanafanya usahili wa afisa ardhi trh 25 na hawajafika dar hadi leo,ila watu hao wamesoma land management and valuation hamuoni mtawanyima haki yao ya kushiriki usahili?
3.Itakuwaje sasa kuhusu watu waliosoma land management and valuation na waliomba uafisa ardhi? Je huo usahili wa kesho kutwa trh 20 utahusisha vyote viwili?

TUNAOMBA SANA MWENYE MAJIBU YA HAYA ATUPE TAFADHALI..MAANA HATUELEWI..TUPO COMFUSED WATU WA LAND MANAGEMENT AND VALUATION...Wengine dream yetu ni kuwa maafisa ardhi na sio wathamin,iweje mtuite kwenye usahili wa kazi ambayo hatukuiomba kisa tu tumesomea fani hiyo????
 
Wewe endelea tu kuchagua kazi. Kuna cku utaikumbuka!!
 
Back
Top Bottom