Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
ke/me punguza jazba, kukosa kazi kusikukoseshe hekimatele.
nawapongeza sana utumishi na wanafanya vizuri kuwapa mitihani, kwani wengi wenu mna vyeti vya kuibia tu. Na mitihani yenyewe mbona rahisi hivyo kuliko hiyo ya practical unayolilia? Eh..Na Utumishi hawafundishi kazi wao wanatafuta wafanyakazi tu wenye vigezo. Kazi ya ufanisi wa mfanyakazi linapimwa na shirika linalo ajiri. Merde!
ni kweli kabisa wakuu hawa jamaa wanajitahid kabisa na wanatoa mwanya kwa kila mwenye sifa kuomba kz,,
tatizo linakuja ktk usahihishaji wa hiyo mitihan,,binafsi nimehudhuria mara nyingi lkn kwa kweli ninavyojib na majib ninayoyapata haviendani kabisa,,,lkn pia kufanyika mitihan saa nne asbh na matokeo kutoka saa 11 jioni ya watu zaid ya 500 ni ajab kabisa kuna possibility kubwa kwamba wanakuwa na wa2 wao tayar,,kama kweli wanasahisha na kumpa kila m2 haki yke bac
big up tume & congratulation for what ur doing.
ni kawaida ya watanzania kulalamika,tume ya ajira kwa kweli imesaidia sana sana.Zamani ajira zilikuwa zinatolewa kwa kuangalia ukabila sana na mambo mengine ya kishenzi,leo hii hata watoto wa makabwela tunapata kazi.Sasa wewe kisendi sijui unataka nini? Tume hii imeondoa ushenzi mwingi sana
Mi naona hao ndugu zenu walipata kama bahati nasibu tu.
kama ukiitwa kwenye interview na uwezo wa kufika unao .....nenda mi nawafahamu watu wengi tu wamepata ajira kupitia interview zao....iko hivi....ukifanikiwa kupenya kwenye kwenye pepa na kufika ana kwa ana hata kama hutaitwa kwa kazi ile ...kuna nafasi ya kuitwa katika nafasi kama ile kwa mwaajiri yuleyue au mwingine...yaani unawekwa kama akiba...reserve...kuna jamaa walipiga interview hwakitwa kazini baada ya kupita wakapigiwa simu...vipi ushapata kazi ...hapana...kuna kazi hii sehemu fulani uko tayari...ndio....basi kazi umepata......mpaka sasa nawafahamu jamaa kama watatu hivi .....walfanya usaili kitambo mpaka walijisahau na walishatukana.....
MUHIMU: Kama umeitwa kwenye usaili na nafasi unayo nenda hujui lini ni siku yako ya zali....kadri unavyojaribu mara ndiyo unavyoongeza nafasi za kupata kuliko kutojaribu kabisa.....
Bt mbona so many guys of us wamepata pale na tukisota wote kitaa? Mi nadhani they are doing fair enough kwa the way wanavyoenda!!! Big Up sana Sekretariat
watz wote tunahtaj mabadiliko kwa sababu hii sekretariate ya ajira wanapotezea watz muda na hela,hebu wabunge tusaidieni haiwezekan nafasi 1 mnashortlist watu 400,kweli kijana asafir kutoka mbeya mpaka dar kwa hali hyo,pili mitihan yenu utadhan watu wametoka chuo jana,kwa nini msitengeneze practical question ambazo zipo makazini kama ni kupima watu,cha ajabu kingne mnasahihsha na mashine au mkono haiwezekan watu 200 au 400 mtihan umefanyka asbh jion majibu yapo internet!wasi wasi wangu lazima kutakuwa na hujuma au kuna mambo ambayo yanafanyika! Kwa kweli interview za namna hii bora niendelee kuwa wakala wa mpesa au tgo pesa!kaz ipo naamin RAIS AJAYE ATAFUTA MFUMO HUU
zali linatokea kwa watu mmoja mmoja ila kujuana,memo,connection ndo mpango japo najua hapa watu watakuja kubisha lakini huo ndo ukweli