Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,648 Reaction score 3,807 Aug 5, 2014 #21 mshua anayo hyo seiko na aliinunua kabla hata sijazaliwa miaka ya 80 na inapiga mzigo mpk leo
Black Hawk JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 620 Reaction score 130 Aug 5, 2014 #22 CHAKULAGA said: wapi naweza pata saa hiyo tajwa hapo juu Click to expand... Bablas Posta maeneo ya Round About kwa mbele kidogo zinapatikana ila ukaze mkanda wa suruali kabla hujainunua, seiko 5 inauzwa hadi 480,000/=
CHAKULAGA said: wapi naweza pata saa hiyo tajwa hapo juu Click to expand... Bablas Posta maeneo ya Round About kwa mbele kidogo zinapatikana ila ukaze mkanda wa suruali kabla hujainunua, seiko 5 inauzwa hadi 480,000/=
Black Hawk JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 620 Reaction score 130 Aug 5, 2014 #23 Mwamba028 said: mshua anayo hyo seiko na aliinunua kabla hata sijazaliwa miaka ya 80 na inapiga mzigo mpk leo Click to expand... Hiyo ni saa, sio bora saa, huwezi kuipeleka kwa fundi seiko 5, ni kutumia tu mpaka mwisho, kichwa kilichobuni hiyo saa Mungu akiweke mahali pazuri kwa kweli, maana zilikuwepo miaka na miaka na zitaendelea kuwepo seiko 5.
Mwamba028 said: mshua anayo hyo seiko na aliinunua kabla hata sijazaliwa miaka ya 80 na inapiga mzigo mpk leo Click to expand... Hiyo ni saa, sio bora saa, huwezi kuipeleka kwa fundi seiko 5, ni kutumia tu mpaka mwisho, kichwa kilichobuni hiyo saa Mungu akiweke mahali pazuri kwa kweli, maana zilikuwepo miaka na miaka na zitaendelea kuwepo seiko 5.
amkawewe JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 2,021 Reaction score 528 Aug 5, 2014 #24 Saa ya nini wakati simu inaonyesha muda?