Hata mimi nakuunga mkono ... tuwe makini sana kwenye huu mkanganyiko. Ijulikane wazi kuwa nia ya ukawa kutoka si kauli ya lukuvi ila ni ccm kung'ang'ania maoni yao badala ya tume ambayo yametolewa na wananchikuhusu tu CUF kuwa ni uamsho kuna ukweli, nina ushahidi, kuna mtu nmafaham vizuri, ni mwna CUF na huwa akienda znz anatrain kabisa na hao uamsho, mapiagano n.k inawezekana CCM wanakosea ila hiyo hoja ya uamsho ina ukweli tusifiche uovu mmoja kwa uovu mwingine shujaa
Posho za wiki hii zimetoka leo na sio jana kama Nnape alivyouaminisha Ulimwengu..........LUkuvi ndio alitoa siri wakati a namwambia Sita kuwa alimtuma hazina na sasa mabo yak poa...Mkuu, hizi ni siasa tu, jiulize kwanini walichukua kwanza posho ya hadi tarehe 30 ndipo wakajitoa? Hivyo hata Hamad awezi kuacha uraji wake eti ili aonekane ktk jamii kua ni shujaa. Sio ajabu hata hao waliosusa wakarudi tena hapo mwezi wa8.
Seif Sharifu Hamad na viongozi wengine (CUF) waliopo katika Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, wanatakiwa kuwaunga mkono wana UKAWA kwa kujitoa katika hiyo serikali, Maana CUF na Sharifu ndio wameshambuliwa zaidi na LUKUVI kuwa ni UAMSHO.
Kwa sasa Sharif aache tabia yake ya kuchochea mambo wakati yeye anaendelea kula matunda ya Serikali, na haileti picha nzuri kuendelea kufanya kazi na INTARAHAMWE kwa mujibu wa Lipumba.
Seif Sharifu Hamad na viongozi wengine (CUF) waliopo katika Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, wanatakiwa kuwaunga mkono wana UKAWA kwa kujitoa katika hiyo serikali,..