Seif ahojiwa polisi kwa saa 12

kalulukalunde

JF-Expert Member
May 27, 2016
1,056
1,083
13312706_1113012792096511_3784264975569219591_n.jpg


Vyombo vya Ulinzi na Usalama visiwaonee aibu Seif, vimfuatilie kwa karibu sana ili kubaini kilichopo nyuma ya pazia na wanaomtumia Seif kutaka kuvuruga amani na utulivu Zanzibar na Bara kwa ujumla wake.
 
Masaa 12!!!???

Haya ya kwako. Alihojiana nao kwa masaa 3 tu na baadae maalim aliendelea na shughuli zake ya ujenzi wa chama visiwani!!

BTW iweje polisi wapoteze 12hrs kwa kitu ambacho hakina kichwa wala miguu badala ya kufanya kazi!!??

Hii dhana ya hapa "hapa kazi tu", Zanzibar haipo siyo?
 
Back
Top Bottom