Preta ushaharibu na ku Deviate Flow na Content ya Thread tayari...
Kama vp muite shemej, Akichanganya huo udhaifu wako Plus hili Darsah la LIKUD, utazidi kupagawishwa Mwayego
Mh hii kali shughuli yote hiyo si utakuta mwanaume umeshajikojolea mara hamsini. Nafikiri tuachane na haya tutumie tendo hili kwa kusudio lililikusudiwa na Muumba kuongeza kizazi asije akatutelemshia gharika
Kuna wanawake wengine sijui wamekatika mishipa ya genye...yaani hata umguse wapi hatikisiki wala hachezi...utampata amekakamaa kama mlingoti wa bendera!!