yaani huyu ndugu anaonya, anakaripia, anafundisha, anakemea tabia mbovu kamahiyo, au anataka kuleta kitu gani hapa maana simuelewi anachukua nafasi ya Mtambuzi
dah! lakini hiyo lambalamba kwa enzi hizi za mikorogo ifanye ukiwa na AKILI TIMAMU. Uchunguzi umeonesha ulaji wa mikorogo (bila kukusudia) ndio chanzo kikubwa cha machizi na mamburula kuongezeka mtaani, vyuoni na maofisini.