Sehemu za starehe Kigoma

Sehemu za starehe Kigoma

Mbangubangu

Senior Member
Joined
May 6, 2013
Posts
188
Reaction score
70
Kwa wenyeji wa mkoa wa Kigoma, ni maeneo gani ya kula bata pande hizo hasa kwa siku kama jumatano na ijumaa?
 
Vijana wa Bavicha baada ya mikutano ya Slaa kudoda mnaamua kujirusha viwanja tu!!!

Rudini Dar tu kama safari imechina...
 
ijamaatano au ijumaa ndio siku ambazo mikutano ya slaa haipogo.nenda bagwe beach au manguruweni ule kitimoto
 
Mambo ya vyama sipo wakuu.tunaangalia fursa.Tanzania kubwa.Daah kitimoto hapana kamanda labda migebuka.
 
Back
Top Bottom