Sehemu ya kuvolunteer ya IT

Sehemu ya kuvolunteer ya IT

Ashuraju

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
36
Reaction score
2
Habari zenu jamani, ninaomba msaada wa kujua sehemu za kuvolunteer in IT dept.nimemaliza mwaka jana degree ya computer science. Nahitaji sehemu ya kuvolunteer ili kupata experience. Nashukuru sana in advance.

Nawakilisha
 
Hongera kwa kumaliza na kupata degree, samahani haujasema wewe uko wapi na uko tayari kufanya kazi ya kuvolunteer mikoa/maeneo gani? Thanks
 
Asante sana ndugu yangu.mimi ninashi Dar,ila kwa sasa nimesafiri kidogo na nitakua Dar mwisho wa mwezi wa pili.Ila niko tayari kufanya kazi ya kuvolunteer popote, ila ningependelea zaidi Dar,mwanza au arusha. .asante sana
 
Back
Top Bottom