Sehemu ya kusoma ufundi Simu na Computers

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Habari za leo?

Kwa miaka zaidi ya 13 nimekuwa memba ndani ya JF nimeona na kupata msaada mkubwa wa mawazo toka kwa memba wenzangu asanteni sana.

Kuna kijana wangu wa kiume amemaliza kidato cha nne miaka kadhaa nyuma na hakufanya vizuri katika hayo masomo yake.

Sasa anahitaji kupata chuo au sehemu iliyo rasmi (registered) kwa mafunzo ya simu na laptop mwisho wa siku akajiajiri.
Kwa sasa yupo Kibaha kwa hiyo ingependeza akapata chuo/karakana maeneo hayo.

Nawashukuru sana kwa mtakaochangia mada hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…