the horticulturist JF-Expert Member Joined Aug 24, 2012 Posts 1,959 Reaction score 1,929 Apr 17, 2014 #1 Mimi ni mwanafunzi wa horti tengeru nachukua diploma ya horticulture,naishi hapa hapa Arusha.VIPI nitapataje nafasi ya kufanya kazi temporary kipindi cha likizo ya kumaliza mwaka wa kwanza?
Mimi ni mwanafunzi wa horti tengeru nachukua diploma ya horticulture,naishi hapa hapa Arusha.VIPI nitapataje nafasi ya kufanya kazi temporary kipindi cha likizo ya kumaliza mwaka wa kwanza?