Sehemu ya kile alichokiongea Sugu katika ziara yake kama Mbunge wa Mbeya Jimboni Kyela(27/12/2014)

Sugu Ni moja ya vijana watakaoandikwa na historia ya taifa hili, yan ana lugha ya vijana ile ile lakn ni tishio sana kwa maESCROW CCM
 
Ngoja Nimtafute Masta J, anitengenezee biti kali niingize hii msistari
 
Hata mseme nini lakini Mimi namkuhali sana Mwakyembe kama waziri.Kwa sasa ndiye waziri anayeongoza kwa utendaji bora.
 
Kamanda Mbu ni nani? anastahili pongezi kubwa sana.
Sugu moto chini ×3
ahahahahaahahaaaaaaaa ni moto chini.
 
Mbona kwenye serikali ya CCM Mweshimiwa Mwakyembe ndio anaonekana hafadhali sasa kama njie wana Mbeya mnasema ni Mziko Je CCM wataponea wapi 2015. Basi Piga sera kuikomboa ni kazi si bure....

Njie=nyie
mziko=mzigo
Hafadhali=afadhali
nadhani ulikuwa unamaanisha hivi...
Ryaro
 
Kumyitu kwa Kyela karibu ongeza moto uwe juu. Tukatele fijo na abhalebhi (ccm Wezi)
 
Back
Top Bottom