WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 284
Wakuu wana JF,
Naomba mwenye kufahamu a suggest sehemu gani nzuri kwa hapa Dar ambayo imetulia naweza kwenda siku za weekend ambapo naweza kukaa na Laptop yangu nikafanya ishu ndogo ndogo, surfing etc huku nikiwa nakunywa maji au juice or even drinking beer etc.
1. Yaweza kuwa sehemu yenye mandhari nzuri or ukumbi flan etc
2. Pawe pana access ya Umeme
3. Pawe pana Parking
Nitashukuru kwa mwenye uwezo wa kushauri eneo hilo.
Asanteni
Wewe ni mgeni?! Vipi bajeti yako?! Sehemu nyingine juice 5000/-
Njoo mji kasoro bahari ujionee
Huko ndo starehe yangu iliko, unabadili hali ya hewa saaaafi ukimaliza unarudi jijini kutengeneza uchumi na foleni juu
Njoo mji kasoro bahari ujionee
Wakuu wana JF,
Naomba mwenye kufahamu a suggest sehemu gani nzuri kwa hapa Dar ambayo imetulia naweza kwenda siku za weekend ambapo naweza kukaa na Laptop yangu nikafanya ishu ndogo ndogo, surfing etc huku nikiwa nakunywa maji au juice or even drinking beer etc.
1. Yaweza kuwa sehemu yenye mandhari nzuri or ukumbi flan etc
2. Pawe pana access ya Umeme
3. Pawe pana Parking
Nitashukuru kwa mwenye uwezo wa kushauri eneo hilo.
Asanteni
Naenda na soda zangu,nanunua chakula tu,Cape town fish market full upepo wa bahari,parking,free WI FI ila jiandae coz soda buku 5,beer buku 7
Wakuu wana JF,
Naomba mwenye kufahamu a suggest sehemu gani nzuri kwa hapa Dar ambayo imetulia naweza kwenda siku za weekend ambapo naweza kukaa na Laptop yangu nikafanya ishu ndogo ndogo, surfing etc huku nikiwa nakunywa maji au juice or even drinking beer etc.
1. Yaweza kuwa sehemu yenye mandhari nzuri or ukumbi flan etc
2. Pawe pana access ya Umeme
3. Pawe pana Parking
Nitashukuru kwa mwenye uwezo wa kushauri eneo hilo.
Asanteni
Kamanda naona signature yako "We are anonymous, we are legion. We donot forgive. We do not forget. Expect us" ni ya wale jamaa wanaharakati wa Freedom and Privacy of the internet au maarufu kwa jina la "Anonymous" wakivalia Guy Fawkes mask...nakupongeza kwa kuona uhitaji wa maneno haya katika spirit ya kiana harakati.
Napenda uangalie movie ya "V for Vendetta" ili uipalilie vizuri spirit hiyo...so inspirational!!!
Kila la Heri...