zegamba180 JF-Expert Member Oct 8, 2014 819 530 Apr 30, 2016 #1 Nimekuwa nikisikia kuwa kuna baadhi ya sehemu wanawake wanapiga umbea wa hatar. Sasa ipi zaidi? 1. Msibani 2. Saloon 3. Bombani/kisiman 4. Bar
Nimekuwa nikisikia kuwa kuna baadhi ya sehemu wanawake wanapiga umbea wa hatar. Sasa ipi zaidi? 1. Msibani 2. Saloon 3. Bombani/kisiman 4. Bar
BADILI TABIA JF-Expert Member Jun 13, 2011 32,772 23,163 Apr 30, 2016 #2 Huko ulikosikia hukupewa majibu???
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 19,579 44,823 Apr 30, 2016 #3 We ni mwanamke au ni mwanaume Kama ni mwanamke unapata muda wapi wa kuanza kuwaza haya badala ya kufanya shughuli za kifamilia hapo nyumbani.. Na kama ni mwanaume we ni jipu SAMAHANI Asante
We ni mwanamke au ni mwanaume Kama ni mwanamke unapata muda wapi wa kuanza kuwaza haya badala ya kufanya shughuli za kifamilia hapo nyumbani.. Na kama ni mwanaume we ni jipu SAMAHANI Asante
nalb JF-Expert Member Dec 8, 2015 436 607 Apr 30, 2016 #4 Hizi mada hizi tunapoelekea.....................duu
Glenn JF-Expert Member May 23, 2015 65,814 156,950 Apr 30, 2016 #5 zegamba180 said: Nimekuwa nikisikia kuwa kuna baadhi ya sehemu wanawake wanapiga umbea wa hatar. Sasa ipi zaidi? 1. Msibani 2. Saloon 3. Bombani/kisiman 4. Bar Click to expand... Great thinker or great sinker!
zegamba180 said: Nimekuwa nikisikia kuwa kuna baadhi ya sehemu wanawake wanapiga umbea wa hatar. Sasa ipi zaidi? 1. Msibani 2. Saloon 3. Bombani/kisiman 4. Bar Click to expand... Great thinker or great sinker!
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,505 142,248 Apr 30, 2016 #6 Kipindi akiwa anasubiria pesa...
Immortal_MH JF-Expert Member May 14, 2013 1,240 2,252 May 1, 2016 #10 Akili yako ndo imeishia hapo...