sehemu gani nzuri kujenga Arusha

sehemu gani nzuri kujenga Arusha

kunyala

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
76
Reaction score
18
jamani wadau wa Arusha.maeneo gani karibu na huduma za jamii panapendeza kujenga.
 
Inategemea na pesa yako, maeneo tofauti gharama za viwanja tofauti. Kajenge Njiro ndio mpango mzima
 
Ardhi ya Njiro na Kilala(Makumira yote) inasababisha NYUFA kwenye ukuta, bila msingi imara nyumba haitakalika!
 
matejoo ,soko mjinga ngarenaro,unga ltd
 
ukitaka jenga kirahisi na sehemu nzuri nenda Gomba. The proposed satelite city.
 
DUH Arusha njiro bado wanajenga tu?

yaani toka enzi za Mbezi beach inaanza naisikia njiro
sasa watu washajenga tegeta yoote hadi Bunju na Boko
bado Arusha wanajenga njiro tu?
 
Daah unga ltd majanga.so still njiro ndio wanapokaa matajiri ok ngoja nijipange
 
Stend kubwa, stend ya hiace, sheikh Abeid stadium, mnara wa mwenge clock tower!

Maeneo yote hayo nauza NiPM:biggrin1:
 
mkuu kwaanzia kimandolu kwenda ngulelo-kwamrefu-hadi nduruma ni pazuri na viwanja sio gharama sana kama huko njiro na burka
 
Back
Top Bottom