Sehemu gan nzur ya kudize new year 2021

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,261
2,000
Habarin wadau

Natafuta hotel au sehemu nzur yenye swimming pools za kuogelea .micheza nk ili nikale huko new year mchana kesho nishinde huko adi usiku

Naish GONGO LA MBOTO tajen sehemu zengine mbali na hz
ANGWISA Mnadan
KAOTA kwa mzungu
MANYOSA Chanika

Natanguliza shukran za dgat pasiwe mbali na gongo la mboto
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom