huku Milan wakitandaza soka mujarab...mshambuliaji Super Mario aliipatia timu hii yenye mafanikio zaidi ulimwenguni goli la pekee na la ushindi.
Ilifika wakati Chievo walipaki basi, lakini haikusaidia kitu...wakalitoa basi hilo upepo, lakini waaapi...na muda uliofika wakavuliwa Gagulo taratiiibu kisha wakatendwa kimwili...
forza Milan