Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
she would get it
Mtanisamehe Si mwoni MIss TZ hapo naona wote WADHUNGU!
Hakuna cha crown hapo wala nini, kama mataji madogomadgo yamemshinda hilo taji la general atalipata wapi?
Eheeh...... acha nicheke miye!
Hako kahindi wala si kazuri
Hakawezi kuja na chochote toka huko
Utafikiri Bongo iko Asia ukiona wameandika ati ni miss Tz!
Hiyo dhambi ya usaliti mimi simo
ponjoro hakutakiwa kuwakilisha nchi..period! Niite mbaguzi kama wewe ni mwenye kasumba.
Mtanisamehe Si mwoni MIss TZ hapo naona wote WADHUNGU!
Hivi kwani amekwenda kushindana au kushiriki
..acha wivu,demu bomba halafu we unasema si mzuri!anyways,uzuri uko machoni mwa mtu,na wengine yetu si mazuri!
..ndio maana yakaitwa mashindano!si lazima ashinde!
..mbona bongo wadosi wanatesa kama kwao!manji,dewji,lalji,chavda,premji,adamjee....i can go on and on!tumemwona richa tu!tuache wivu usiojenga!
..wasaliti wanafahamika!
..kama wanaweza kuachwa wakatawala uchumi,hata urembo wakitawala sawa tu.....kwanini we are trying to make issues out of small things!big deals tunalala?