ngunde11
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 704
- 923
Mkuu umenivunja mbavu mpk nimepaliwa na balimiHasa haaaaaa teeeh teeeh
Hakika, haya material ukijibia mtihani wa biology Mwalimu, anayesahihisha ni lazima Israel mtoa roho amtembelee au ajikute yupo ICU.
Mkuu umenivunja mbavu mpk nimepaliwa na balimi
Kwa kawaida sijui kusema hapana kwenye ofa ya Balimi.Pole sana , agiza nyingine nakuja kukulipia ila hakikisha huimalizi kabla sijafika kwa ajili ya kulipia.
Haaaaaa haaaaaa teeeh teeeh