Security cameras and Electric fence installation.

Mlisa

Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
28
Reaction score
1
We do fix and install security cameras and electric fence at a good price. We also give a warranty of one year. We have done that for some banks. Please call 0712435316 for more information.
 
Mkuu nina uwanja wangu wa mita za mraba 1220 ambao nitajenga ukuta, je hiyo electric fence mnaweza kuniwekea kwa kiasi gani?
 
je ? unaweza kuniwekea kwenye mabanda yangu ya kuku ili vibaka wasinisumbue
 
Mkuu nina uwanja wangu wa mita za mraba 1220 ambao nitajenga ukuta, je hiyo electric fence mnaweza kuniwekea kwa kiasi gani?

Bei yake ni 4.5million. But inaweza ikapungua
 
Tunapamoja na door and room security system ambazo siyo za camera. Contact me on my number please.
 
Bei yake ni 4.5million. But inaweza ikapungua

Ok mkuu. Vilevile nahisi kama nahitaji kuwa na bastola. Jirani yangu majuzi alinusurika kuvamiwa na majambazi. Bahati nzuri aliwaona mapema wakiwa wanabebana kuruka ukuta na yeye ana bastola wakajibisha kidogo kwa risasi kisha wakatoweka. Je unaufahamu utarabu wa kupata hii kitu (bastola)?
 
Nenda Tanganyika Limited kwenyeduka Lao wapo hapa DAR na Mwanza but wana vigezo. Mkuu weka electric fence hakuna mwizi atasumbua kwani inahadi alarm yaku alert if something goes bad. Nauwezo waku secure milango yako mwizi akiingia ina piga kingola Kama ambulance. Can we do business????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom