Habari za muda huu wapendwa. Poleni na miangaiko ya shughuri mbalimbali na moja kwa moja niende kwenye mada
Naitaji mtu mwenye ujuzi mkubwa wa mambo ya usimikaji au uwekaji wa security kwenye mifumo mbalimbali .Mtu ambae anajua vyema maswala ya hacking na penetration mbalimbali za kuhack au clacking kwenye system mbali mbali yaan iwe ni jinsi ya kuhack website ,systems, network yaan inshort kila kitu kwa upande wa hacking na security na awe anajua vizur kutumia kari Linux kwaajili ya mambo ya penetration mbalimbali
Kiukweli ndugu zangu nipo serious sana na endapo atapatikanika nitamlipa ani PM au anitafute kwa Emil yonadauden@gmail.com.Nakuhusu cha kufanya na jinsi yeye atanudaikaje basi tutayaongea yote pm au anicheck kwa Emil [emoji115] [emoji115] au namba ya simu 0769067063 asante
Hacker atafutwi hivyo kwasababu udukuzi ni kosa kisheria. Unategemea umpate kwa namna hiyo? Ni sawa na fundi simu unamwambia akubadilishie IMEI ya simu yako. Hayo maelezo umejichanganya sana. Kama umetumwa na UDOM humpati mtu
Hacker atafutwi hivyo kwasababu udukuzi ni kosa kisheria. Unategemea umpate kwa namna hiyo? Ni sawa na fundi simu unamwambia akubadilishie IMEI ya simu yako. Hayo maelezo umejichanganya sana. Kama umetumwa na UDOM humpati mtu
Ndiyo maana nikakuambia umejichanganya sana. Badala utafute White Hacker unatafuta Black Hat Hacker. Udukuzi ni kosa kisheria, uki-hack hata whatsApp ya mkeo akienda kukushitaki atakufunga.
Hayo maelezo yako ni ya Black Hat Hacker. Kwa maelezo yako haupati mtu. Ukipata utampata Script kiddies na siyo Intermediate hacker or Elite Hacker