Habarini
Anahitajika secretary wa muda mfupi anayejua program za Illustrator cs,
Pagemaker na application for computer, vilevile awe anajua mambo internet ni vyema zaidi.
Kuna ofisi wanamhitaji kwa muda mfupi yule aliyekuwa hapo anakwenda likizo mwezi wa 9
katikati hivyo kwa muda mfupi wa siku 25 hakutakuwa na mtu hapo ofisini.
Kwa yeyote anayehitaji na anajua hizo program pls asisite kuniPM nitawasiliane naye
Ofisi ipo Dar es Salaam Tanzania
Karibuni