Secretary/ps tuonane hapa.

Secretary/ps tuonane hapa.

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
414
Reaction score
130
Habar zenu wana janvi....
Polen na majukumu ya kila sk na hongeren kwa kuwajibka kila siku.
Mmi nimeleta uzi huu kwenu nikiomba kujuzwa hili : hii koz ya secretary soko lake katka ajira ipo vip inalipa au la?, na nichuo kip kizur cha serkar au private kilicho na usajir kinachoto koz hii kwa ufasaha zaid, pia pia mfumo mzima wa koz hii upo vip na mashko yake niyapi?
 
Majibu jaman
 
Cha kwanza uwe jinsia ya kike.
Pil una sura nzur na umbo zur.
Vilevile kupata ajirà n majaliwa au itategemea na connection zako au referee.
Katka mashiko sidhan labda waje wengne
 
Asante wengne njoon mnisaidie
 
Back
Top Bottom