activemedia africa
Senior Member
- May 28, 2013
- 141
- 26
washawataarfu ndugu zao huko.we jpeleke.bt avoid stereotyping jarbun bahat zenyumnaolalaika hamna kazi, nafasi ndio hii..usikae na kuwaza negative kila siku, bahati inaweza ikakuangukia mana ya Mungu mengi....Jiulize, tafakari na Chukua hatua..Mungu yupo pamoja na wewe..Bora kupata kazi ikakulipa hata mia mbili kuliko kutokuwa nayo kabisa..KILA LA HERI KATIKA JOB HUNTING...
Hawa sina imani nao
hawa si ndio matapeli mpaka wakaanikwa humu jf waliwaambia watu watoe hela ya training ,hakuna kitu hapa
Jmn Sasa hp unaomba km nani