Sifa za Muombaji:
- Awe na elimu angalau ya Kidato cha IV
- Awe na Cheti kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali
- Ujuzi katika kutumia Microsoft Applications
- Awe na umri kati ya miaka 18 - 25
- Awe tayari kufanya kazi katika Mkoa wowote ule atakaopangiwa majukumu
- Mshahara utategemea na sifa za Muombaji
Sifa za Kampuni:
- Ni Kampuni binafsi inayojishughulisha na Uagizaji na Usambazaji wa Vifaa vya Ujenzi
- Ina matawi katika Mikoa ya Dsm, Mwanza, Dodoma na Mbeya
- Kampuni inafuata Taratibu zote za Ajira kwa mujibu wa Sheria za Nchi
- Kampuni inakua kwa haraka na ndio sababu kumetokea na uhitaji wa rasilimali watu
Kwa yeyote aliye na sifa na utayari wa kujiunga na Kampuni hiyo anakaribishwa kwa mawasiliano zaidi.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Februari, 2023