Secretariat ya ajira; simani ninachokiona

Nafasi zetu ikitoka moja tunaomba 1000...sio mchezo
 
Hata mim siwaelewi hawa Utumishi ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unafika kwenye mahojiano unakwama?? Mimi nikifika kwenye mahojiano ni green light kwangu hiyo nakuwa sizuuliki na chochote
Acha mbwembwe wewe kuna mda ni kismart tu unaweza ukajibu vizuri na ukajikuta unakosa kazi hizo kazi hazitabiriki futa kauli yako ila dhidi tu kumuomba Mungu wako tu atimize haja yako usiwe unaishia Written tulowahi ingia ORAL tunaelewa hili boss.
 
Ngoja niweke akiba ya màneno
 
Mimi nimeitwa Kwenye usaoli wa Mchujo kada Ya Liquorer officer II, siyo mzoefu na saili zao, naomba Mfumo wa maswali yao(Format)
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…