Bodabodafasta
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 372
- 372
-Paper za Utumishi Jibu kwa Kifupi kadri UwezavyoBaada ya kufanya usahili wa mtihani pale duce siku ya jumamosi iliyopita nilidhani ndo wakati wangu wakupata kazi maana maswali yalikuwa ni dhahiri na nilijibu yote kwa ufasaha; ila matokeo yameniangusha ile mbaya.
Kwa hakika sijawaelewa kabisa hawa jamaa wa utumishi..
Naona kuna tatizo kitengo cha usahihishaji wa mitihani maana matokeo ya wengi hayaendani na walichofanya.
Asante kwa ushahuri nitazingatia mkuu, ila kwa nilivyojaza ngoja nijitie moyo next time nitafanya jambo-Paper za Utumishi Jibu kwa Kifupi kadri Uwezavyo
-Acha kuleta Ujuaji sijui unataka kujaza karatasi 20 kama somo la Historia
-Acha kujiona utaonewa au Unaonewa
-Acha kuweka matumaini 100% ya hiyo kazi kama umeomba peke yako
-Heshimu washindani wako
Kwamba hujui kujielezea?? Mara tatu zote hizo??wale jamaa wako fair sana katika usahihishaji wao. nimeitwa mara 2-3 zote natoboa mziki unakuwa usaili wa mahojiano.
kama si kusuasua kwa ajira, ngeshatoboa kitambo. jipange mkuu mambo yataenda sawa
sikufanikiwa washawishi mkuu ila ukisema sijui haunitendea haki kama ndugai kwa CAG niko vzr sema wakat mwingine unafanyiwa usaili mwishoni wao washapata wanao wahitaji toka mwanzo.
Utumishi hicho kitu Ni nadra anabebwa anayebebeka.. We kwenye maswali ya professional huwa unayamudu yote bila doubt? Au Unashindwa kwenye STAR QNS?? Au vice versa?sikufanikiwa washawishi mkuu ila ukisema sijui haunitendea haki kama ndugai kwa CAG niko vzr sema wakat mwingine unafanyiwa usaili mwishoni wao washapata wanao wahitaji toka mwanzo.
Asante kwa ushahuri nitazingatia mkuu, ila kwa nilivyojaza ngoja nijitie moyo next time nitafanya jambo-Paper za Utumishi Jibu kwa Kifupi kadri Uwezavyo
-Acha kuleta Ujuaji sijui unataka kujaza karatasi 20 kama somo la Historia
-Acha kujiona utaonewa au Unaonewa
-Acha kuweka matumaini 100% ya hiyo kazi kama umeomba peke yako
-Heshimu washindani wako
Hao jamaa wana vitu vingi sana ambavyo vinaonesha madhaifu na hakuna namna ya kukata rufaasikufanikiwa washawishi mkuu ila ukisema sijui haunitendea haki kama ndugai kwa CAG niko vzr sema wakat mwingine unafanyiwa usaili mwishoni wao washapata wanao wahitaji toka mwanzo.
Yaani unafika kwenye mahojiano unakwama?? Mimi nikifika kwenye mahojiano ni green light kwangu hiyo nakuwa sizuuliki na chochotewale jamaa wako fair sana katika usahihishaji wao. nimeitwa mara 2-3 zote natoboa mziki unakuwa usaili wa mahojiano.
kama si kusuasua kwa ajira, ngeshatoboa kitambo. jipange mkuu mambo yataenda sawa
Zingatia uliyoambiwa na troll. Wale sio wajinga kukupa maswali mafupi fupi na karatasi moja wewe utake kujaza mavitu mengi.kuleta ujuaji.. Utumishi wanajitahid Sana Kama huna gundu lolote na unajua kweli utateleza tuu..Hao jamaa wana vitu vingi sana ambavyo vinaonesha madhaifu na hakuna namna ya kukata rufaa
Mkuu unaposema matokeo ya wengi,ina maana ulikua unaangalia wenzio wanavyojaza? Naomba kueleweshwa hapo.Baada ya kufanya usahili wa mtihani pale duce siku ya jumamosi iliyopita nilidhani ndo wakati wangu wakupata kazi maana maswali yalikuwa ni dhahiri na nilijibu yote kwa ufasaha; ila matokeo yameniangusha ile mbaya.
Kwa hakika sijawaelewa kabisa hawa jamaa wa utumishi..
Naona kuna tatizo kitengo cha usahihishaji wa mitihani maana matokeo ya wengi hayaendani na walichofanya.
Nimejitahidi kuwa short and clear, ila mambo ndo hivyo sio poa; acha nifanye kama rejea yanguZingatia uliyoambiwa na troll. Wale sio wajinga kukupa maswali mafupi fupi na karatasi moja wewe utake kujaza mavitu mengi.kuleta ujuaji.. Utumishi wanajitahid Sana Kama huna gundu lolote na unajua kweli utateleza tuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh wenzetu nyie ni wafanyakazi wa utumishi nini?? Sio kwa sifa hizo wakati watu wana chinjwa ile mbayaUTUMISHI wapo fair Sana.Ni wewe kujibu kwa ufasaha na kwa ufupi.
Nimefuatilia jamaa niliomaliza nao kama kumi washahudhuria hizi kama 10 hivi zote wanaishia written mpaka wengine wameachana na utumushi mkuuMkuu unaposema matokeo ya wengi,ina maana ulikua unaangalia wenzio wanavyojaza? Naomba kueleweshwa hapo.
Bomba Mvua
Mkuu labda ni bahati tu,mimi nilifanya interview pale mara ya kwanza tu nikapata na sikua na refa,tulikua 150 na walikua wanatakiwa watu 25 tu,hivyo ni wazi watu 125 hawawezi kupata nafasi. Nadhani tuzingatie na uhitaji wa nafasi husika,ila jamaa wanajitahidi sana kua wawazi. Mnaweza kufaulu wengi ila nafasi zikawa chache sio rahisi kupita wote.Nimefuatilia jamaa niliomaliza nao kama kumi washahudhuria hizi kama 10 hivi zote wanaishia written mpaka wengine wameachana na utumushi mkuu
kati ya izo 3 kuna moja majibu yalitoka kiaina 'ilikuwa katibu tawala nafasi 15' yakaitwa majina 7 (kulingana na nafasi zilizo patikana) baada ya hapo sikuona kuitwa kazini tena.Utumishi hicho kitu Ni nadra anabebwa anayebebeka.. We kwenye maswali ya professional huwa unayamudu yote bila doubt? Au Unashindwa kwenye STAR QNS?? Au vice versa?
Sent using Jamii Forums mobile app