No way near mkuu...hiyo kitu haipo hata kidogo mkuu...au leta fact kwann umepata hizo fikra ili tupanuane mawazo mkuu....leta fikra mkuu!
Kama Amerika ni ant Islam,ni nani alietoa ruhusa ya kujengwa msikiti pale ground zero ya WTC?
Panya hun'gata huku akipuliza
HIZI HABARI BADO ZINABAKI KUWA UCHAMBUZI WA KUSADIKIKA NA PROPAGANDA YA IRAN NA WAISLAM DHIDI YA MAREKANI MLENGWA MKUU AKIWA NI ISRAEL.
Watu wa kwanza kueneza sumu hii ni raisi wa Iran na Waziri mkuu wa Uturuki(Erdogan)wate wakiwa ni wafadhili wa ugaidi japokua wanaonyesha wawili hawa kutofautiana hasa ktk swala la Asaad,Lakini habari hii haina ushahidi wowote.
Iwe kweli au siyo kweli jambo msingi ni hili
KWANINI UISLAM UNAONYESHA UDHAIFU HADI UNATUMIWA KIASI HIKI?
UPO UDHAIFU KTK UISLAM AMBAO UNAFANYA DINI HII KUTUMIWA KTK UOVU,NA TUSIPOUKIRI,KUUREKEBISHA NA NAKUUTUBIA,KILA SIKU UISLAM UTATUMIWA KTK UOVU.
LAKINI PROPAGANDA HIZI ZA KUTUNGA ZIMETUMIWA SANA NA WAISLAM HASA PALE UOVU WAO UNAPOKUA WAZI.WANAANZA KULIA LIA NA KULAUMU MATAIFA MENGINE KUWATUMIA VIBAYA.
NAKUMBUKA ILE PROGRAM YA WAISLAM YA SATANIZATION OF ISRAEL.
ndugu yangu hakuna tofauti,narudia kusema hakuna tofauti,magaidi ni yai/tunda la uislam ,japo ukweli unauma na unaweza kuudhi lakini ndio kweli hiyo.naomba kuelimishwa kama kuna tofauti kati ya uislamu na ugaidi. Nimesoma na kutafakari sioni ni vipi unaweza kuvitenganisha. Ni ukweli japo kwa wengine unauma
ndugu yangu hakuna tofauti,narudia kusema hakuna tofauti,magaidi ni yai/tunda la uislam ,japo ukweli unauma na unaweza kuudhi lakini ndio kweli hiyo.
Mtu akibisha hili nitathibitisha hili
mada zuri lakini deebo weka kwa ki swahili yaani tafsiri ili watu wapate uelewa zaidi na tusIwe wat umwa wa lugha wa kati ki swahili kipo ni ayo tu mkuu au mnasemaje wadau.!!!
Naomba kuelimishwa kama kuna tofauti kati ya uislamu na ugaidi. Nimesoma na kutafakari sioni ni vipi unaweza kuvitenganisha. Ni ukweli japo kwa wengine unauma
ndugu yangu hakuna tofauti,narudia kusema hakuna tofauti,magaidi ni yai/tunda la uislam ,japo ukweli unauma na unaweza kuudhi lakini ndio kweli hiyo.
Mtu akibisha hili nitathibitisha hili
Kuanzia na ishu ya WTC hadi vita dhidi ya ugaidi na Obama kuyapa fedha makundi ya Kiislam na hayo yamesababisha Uislam kupanuka sana
Hakuna kinachofanywa na serikali ya Marekani kuzuia ISIS na hata pale kwenye kumbukumbu za WTC pamejengwa kama Al Kaaba,unadhani yote haya yametokea bahati mbaya?
Maelezo yako bado hayajibu nilichokuuliza .....!!
ndugu yangu hakuna tofauti,narudia kusema hakuna tofauti,magaidi ni yai/tunda la uislam ,japo ukweli unauma na unaweza kuudhi lakini ndio kweli hiyo.
Mtu akibisha hili nitathibitisha hili
Najaribu ku connect dotes za kua islam is american project naona zipo tofauti sana...sio kwel ila kinachofanyika ni kua marekani inafanya mambo yake kwa kutumia sura ya uislam...ni kwel kuna baadhi ya waislam wanatumika pia...hili linawezekana lakin sio mafundisho ya dini mkuu...jaribu kutofautisha dini na watu
Mkuu idea ipo hivi..tuna ongelea dini ya uislam na nn inachoeleza juu ya ugaidi..atusemei watu ambao wanaonekana kua wafuasi wa dini hii.. Dini ipo constant na maamlisho yake ni yale yale miaka yote ila watu wanabadilika na mtu anaeza fanya kitu kama anavyo elezwa kwenye dini au akafanya kitu tofauti.
Sasa kimsingi kabisa sipo hapa kutetea mtu ila nipo kutetea hii dini na maamlisho yake..sasa je kuna sehem katika dini hii wanaeleza kufanya ugaidi au una support ugaidi? Wap kwenye kitabu kitakatifu hii habari hipo?
Sasa kuna usiasa upo hapo! Dini inasema vingine na watu wanafanya vingine tofauti na mafundisho ila mwisho wa siku inaonekana ni tatizo la dini. Hii sio sawa mkuu