Second US Patient Tests Positive for Ebola

BAK kwa nchi masikini na vifo hivo si tutaisha???
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Inatisha sana Mkuu nilikuwa naangalia taarifa ya habari muda mfupi uliopita wanadai idadi ya wagonjwa kule Liberia/Sierra Leone inaongezeka mara mbili kila mwezi mbaya zaidi ni kwamba wagonjwa wapya hawapokelewi tena mahospitalini kutokana na ukosefu wa vitanda, madaktari na manesi.

BAK kwa nchi masikini na vifo hivo si tutaisha???
 

Na unaambukizwa kwa hewa? Basi nchi kama Liberia baada ya mda tutaisoma kwenye vitabu...
 
Reactions: BAK
Yeah! That is very true, 4,000+ is "official number"

Na bado inadhaniwa hao 4000+ waliofariki ni minimum estimation. A lot more are dying unreported.

This is scary!
 
Na unaambukizwa kwa hewa? Basi nchi kama Liberia baada ya mda tutaisoma kwenye vitabu...

Mpaka sasa sidhani kama kuna ushahidi wa kutosha kuhitimisha kuwa unaambukizwa kupitia hewa pia.

Licha ya hivyo mimi sitaki hata kuwa karibu na mwenye ebola hata kupitia mtandaoni.

Nikikuhisi wewe una ebola sitajibu wala kunukuu mabandiko yako.
 
Hili la ugonjwa huu kuambukizwa kwa hewa mpaka sasa wamelikanusha haliwezekani, ila kuna mwanahabari mmoja (camera man NBC US) naye kaupata huu ugonjwa lakini hawajasema kaupataje. Je, alishiriki katika kusaidia mgonjwa/wagonjwa na hivyo kuwa na contact nao kwa namna moja au nyingine? Wanadai anaendelea vizuri, kama atapona labda anaweza kutoa maelezo kuhusu namna anayodhani aliupata ugonjwa huu pamoja na kuwa dhana yake inaweza isiwe 100% accurate.

Na unaambukizwa kwa hewa? Basi nchi kama Liberia baada ya mda tutaisoma kwenye vitabu...
 
While we're on this!...something to think about our country, God forbid but what do we do in case of the worst case scenario!
 
Reactions: BAK
Mpaka sasa sidhani kama kuna ushahidi wa kutosha kuhitimisha kuwa unaambukizwa kupitia hewa pia.

Licha ya hivyo mimi sitaki hata kuwa karibu na mwenye ebola hata kupitia mtandaoni.

Nikikuhisi wewe una ebola sitajibu wala kunukuu mabandiko yako.

Nigga puh leez!
 
....nobody!, and this nurse was wearing a full protective suit?!, while caring for him!
Prior to none was wearing those "protective suit". After they tested the person, then they started wearing. So, he might have caught before testing the guy.
 
​Very scary situation...God forbid.

While we're on this!...something to think about our country, God forbid but what do we do in case of the worst case scenario!
 
sawa... I hope you have your facts right, maana uko nyuma hata ya mafamba

Wabongo bwana we umeniita Mimi mshamba nimekwambia nieleze ukweli basi unanijia Na ngonjera. Kama hujui kitu usi criticize mwenzio.
 
Another possible Ebola case in Massachusetts, Boston. Another traveller from Liberia showing Ebola symptoms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…