Mpaka wiki ijayo subir
Asante mkuuTarehe 20 Oktoba 2018
Jina langu lipo kwenye Verificatio n pale NACTE ila niliongea na meneja wa chuo akasema tusubiri mpaka tarehe 20 nitakuwa VerifiedAsante mkuu
samahani hiyo taarifa umeitoa Nacte?
Jina langu lipo kwenye Verificatio n pale NACTE ila niliongea na meneja wa chuo akasema tusubiri mpaka tarehe 20 nitakuwa Verified
Kuwa mvumilivu mzee kuanziaa tarehe ishirini mana ..kwa certificat na diplo.....wanaanza kulipot vyuon tarehe 29 ..mpaka 3 nov.... Ko endelea kupambana
Matokeo yako sio mabaya ila ushindani ni mkubwa sana kama inawezekana jaribu na privateDuh nishakaa sana homecna vyuo vya private vimejaa,kwa matokeo haya naweza kupata kweli
Bios B,Chemistry C,Physics D,Math C na English C nimeomba diploma na certificates Clinical Medicine
Umekosa hadi NTA 5! ulichagua vyuo gani wewedah mimi kaka mwaka wa pili huu nakosa chuo wakati vigezo ninavyo tena mwaka huu nimekosa hata NTA 5
Private mlipaji ada ana uwezo boss,uwezo wake duniMatokeo yako sio mabaya ila ushindani ni mkubwa sana kama inawezekana jaribu na private
Private mlipaji ada ana uwezo boss,uwezo wake duni
Umekosa hadi NTA 5! ulichagua vyuo gani wewe
Ndio mku
nikiweka 1.Kilosa 2.Mtwara 3.Mbeya
Pole sana jarribu vyuo vya privatedah mimi kaka mwaka wa pili huu nakosa chuo wakati vigezo ninavyo tena mwaka huu nimekosa hata NTA 5
Aanzie chuo anachotaka kwenda kama kuna nafasi watampa barua kisha anachukua barua ya uhamisho chuoni anachosoma then ataenda wizara ya afya na nacte kwa ajili ya uhamisho very simpo kama chuo anachotaka kwenda nafasi ipo na barua amepataSamahanini jaman mwenye kujua process ya kuhama chuo yaan transfer koz kuna mdg wangu anataka ahame chuo ila nafatilia website hawajatoa taarifa yoyote nisaidien kama kuna mtu Ana a, b, c kuhusu hili jamn
22/10/2018Naomba kujuzwa matokeo ya second selection kwa diploma na certificates yatatoka lini?