Kweli kabisa mambo hayaendi bhnaJaman toeni leo angalau presha ya kwanza ya dear applicant ipungue maana mabo hayaendi kabisa
Bro unanitishaNakumbuka nlikua na mzuka wa selection hivi hivi... baada ya kwenda chuo ndani ya semester moja tu nikatamani kurudi nyumbani

tcu mungu anawaona
nikikosa awamu ya pili najipeleka chuo bila kuchaguliwa






Labda ujipeleke vetatcu mungu anawaona
nikikosa awamu ya pili najipeleka chuo bila kuchaguliwa
Teh, nacho Chuo mkuu.Labda ujipeleke veta
hahahahaaaaaaLabda ujipeleke veta
naingea fact japo si applied kwa wote! ukipangwa na ukienda chuo utanielewa japo itategemea na masomo utayochukuaBro unanitisha![]()
![]()
![]()
First round tu haijatoka toka mwezi wa tisa 12 hadi leo baadhi ya vyuo hata sita haizidi kwa idadiTatizo la watu wa tz mnakiroro sana yani ndo kwanza memaliza kuomba ijumaa leo mtake majibu acheni wafanye kazi zao kwanza
Ila kwel hii mizuka n kwa tym hii tunaingea fact japo si applied kwa wote! ukipangwa na ukienda chuo utanielewa japo itategemea na masomo utayochukua