habari wana jf mimi nimechaguliwa kusoma medicine udom second selection ambapo ni equivalent tuliambiwa tudownload adimission letter kuanzia tarehe moja mwezi wa kumi lakini cha kushangaza ukidownload inagoma na ukijaribu kuwapigia simu walizoweka kwenye website hazipatikani,ninaombeni msaada weni kwa yeyote mwenye taarifa juu ya hili.