tusubiri tu jamani maana kuna mtu kachaguliwa vyuo vitatu ila jina lake halijatoka kwenye watu wa multiple yeye amekuta kwenye account za vyuo alivoapply

This is so strange. Je kama kuna mtu hajaona majina yake selection ya pili bado kwenye mkopo anamatatizo huyu mtu atakuwa na hali gan.? Ila God wil make a way for us all. Tusife moyo