Second-Order Linear Non-Homogeneous Equation with constant coefficient

Mambo ya NDANDA BOYS HIGH SCHOOL HAYO EGM oneeeee..................now daaah nimeshazeeka

Uwiiii!!!!Ahh kaka apo naona madudu tupu!!! umebarikiwa!! #hio tunaita Namba mmh ni ugonjwa wa Taifa!!!!ila nashukur mengine nliyamudu....hadi nna Degree yangu saivi!!!
 
Msaada:will someone kindly solve this(I am bit mathematically rusty off late)
Ay"+By'+Cy=D+E(sinwt)

FFile limegoma ku-load, lakini unaweza kuuona huo mfano uliopo kwenye site moja kwa moja wa integral ya e^xlnxdx. You either type a diffrerential equation or an integration problem
 
Muda wa kusolve hii mambo nishaingiza sh ngapi dukan kwa mama godiii

kilicho akilini kitumie
 
duh
 
Dah!... Umenikumbusha kitambo Sana, Advanced mathematics. Tamu Sana hizo differential equations ukizielewa.

Hesabu tamu sana kusema kweli.
 

Duuhh Mkuu nimekubali

Katika ya kuafutilia mtiririko huu nimepiga miayo kadhaa
Wewe sio mchezo
 
Out of curiosity, What are the application of these things in real life?
 

Kwahiyo, yote hayo jibu lake ni YEYE LISSU 2020. Nimekukubali.
 
Duuh kimya wakali wa maths
ok nitarudi na mrejesho nimejaribu mwenyewe baada ya kurudi university of YouTube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…