Sebo makutano show: M4C CDM wamecopy na ku paste from Uganda.

Sebo makutano show: M4C CDM wamecopy na ku paste from Uganda.

Ssebo ni mchumia tumbo tu yule,achaneni naye. Yeye bado anawaza kwa kutumia tumbo tumbo lake wakat watu wa aina yake siku hiz wanawaza kwa kutumia masa nini sijui?
 
Huyu mganda hana lolote,humu mjini analelewa na wanawake tu,tena baadhi yao ni makada wa magamba nadhani ndio wamemtuma.huyu jamaa ovyo kweli hata tulipokua UDSM mambo yake hjayohayo ya kujipendekeza

sio tatizo lake, he being a Ugandan, he acts like one.
 
Kuishi anaruhusiwa lakini kujihusisha na siasa za bongo hapo ndio anakosea!!!??? Ssebo mchumia tumbo angalia tumbo ukiliendekeza litaponza takolo!!!!!!?????
 
Sebo siku zake zinahesabika Tanzania. Kanunua mitihani vya kutosha pale UDSM leo hii anakuja kuleta matapishi. Tutakula nae sahani moja. Siku yake inakaribia na atajuta kutumwa na hao waliomtuma.
 
Back
Top Bottom