Mkuu....umeongea swala la msingi sana....CAG sio position ya kisiasa..inahitaji taalum...Assad ni mzuri kama mwalimu..ila kiukweli hawezi kua na Experience kama ya Mapatner wa Auditing firms ..kwa Mfano Bwana Mndolwa, na wengine wengi walioko kwenye mashirika ya ukaguzi( Either ya nje au ya wazawa)...
Iko haja ya kufika pahala na kukubali kwamba kuna academicians na kuna proffessionals eg Auditors.
Napenda kutanguliza kwamba Watajwa wote hapo juu ni wazuri either as academicians or wanasiasa..ila kwenye UCAG sidhani.
vipi ile ya IGP tulioambiwa walioko kwenye shortlist ni thobias andengenye, magu na msangi na baadaye kweli IGP akatoka katika hao?Hapa ndo tunapokosea waTz. Kwa nini consideration iwe limited kwa hao watu watatu tu? Utaratibu unaofaa ni kwamba kazi hiyo ingetangazwa ili Mtz yeyote anayeona an vigezo vya kuteuliwa aombe na majina 3 yapekekwe kea JK kuteua. Kazi ya kutanganza, ku-shorlist na kuinterview ipewe kwa professwional firms kama KPMG, PwC, Deloitte, etc
Mnaosema Prof ASSAD ni mdini mbona mnambatiza udini bila ushahidi?
Dr Assad ni kichwa hatari ......ngoja tuone kama Pius Maneno atampiku bosi wake pale NBAA Dr Assad .......lakini kama ingekuwa uamuzi wangu Dr ASSAD ni nguli ambaye inabidi atoke pale UDSM na NBAA atumike kisawasawa ....
- Dr. Assad ni mtaaluma, ana uzoefu kwa kufundisha sio kusmamia taasisi kubwa ya ukaguzi. Stadi zinazotakiwa hapo ni za ukaguzi na usmamizi wa kazi za ukaguzi. Utendaji na ufundshaji n stadi mbl tofauti
- Maneno pia uzoefu wake ni wa kitaaluma ya uhasibu na sio ukaguzi kama requred skills. Skills znazohitajika hapa ni za kitaaluma lakini pia zinazopatikana kazini kwa kufanya kazi. Sio vema na haki kudhani kila kazi inaweza ikafanywa na Profesa au Dr. taaluma hizi ni za kufundishia (resource persons). Tena stadi kubwa za watu hawa ni kufanya utafiti za kuibua maarifa mapya sio day to day routine jobs. Kuwaondoa maprofesa chuoni ni sawa kuwaonda madaktari hospitali na kuwapeleka makao makuu ya wizara ya Afya na ustawi wa jamii kujadili sera na mipango kazi ya Wachumi.
- Mama B. Nyoni sijui ni kwa nini anafikiriwa katika nafasi hii. Hana back ground ya ukaguzi. Nafasi zote alizopata kushika ni Ceremonial nazo pia aliteuliwa. Hata hivyo sehemu zote alionyesha udhaifu mkubwa kiutendaji. Labda kama kuna utendaji wa siri ambao hatuujui, lakini nafasi anayofikiriwa kupewa ni ya Public for the interest of the Public, sasa kama anaweza kutumia nafasi ya umma kumfurahisha mtu mmoja tena kwa siri sidhani kama ni sifa pekee nzuri
- Binafsi ningeonelea, ingawaje maoni yangu yanaweza kuwa sio muhimu, mtu anayefaa kushika nafasi hii anweza kuwa ni yule aliyepata kufanya kazi katika ofisi ya Taifa ya ukaguzi, muadilifu, mweledi na of indipendent state of mind.
Naona hilo gazeti lime mfagilia sana huyo muislam!
Of course atapewa Asad hao wengine wote wasindikizaji. Changa la macho!
Hakika atapewa dr. Assad mwenye udini uliopindukia aliyekuwa anadiriki kufundisha wanafunzi wa kiislam mitihani na majibu ya mitihani ya accounts msikitini au masjid chuo kikuu cha Dar es Salaam. Tunawashukuru wale waliojifanya waislam kwa kuvaa mabaibui ili kwenda kupata ukweli. Ninasikitika kipindi kile hakukuwa na mobile phone kabisa angerekodiwa. Mdini na hujumati kubwa sana. Tena kifamilia hovyo kabisa. Alimtesa sana mkewe. Berverly mtoto wa Prof maarufu wa uchumi sijui kama bado wako wote. Hana maana Assad. Pro Assad niwieni radhi huo ndiyo ukweli.
Dar es Salaam. As Ludovick Utouh retires from the post of Controller and Auditor General (CAG), the huge question looms: who will succeed him in one of the countrys most powerful jobs? Mr Utouhs tenure ends officially on Friday.
According to details gathered by The Citizen, names of three respected Tanzanians are poping up as potential successors, but only one of them would be appointed by President Jakaya Kikwete.
Impeccable sources told The Citizen that Mr Pius Maneno, Ms Blandina Nyoni and Prof Mussa Assad are being considered for the big, challenging job that will make them Tanzanias sixth CAG.
Prof Assad teaches the University of Dar es Salaams Business School (UDBS). He is a Certified Professional Accountant with a doctorate degree in Accounting from Southampton University.
Dr Assad also chairs the governing boards/councils of National Board of Accountants and Auditors, National Bank of Commerce (NBC) and the Muslim University of Morogoro.
He is furthermore a member/trustee of the National Social Security Fund, Higher Education Students Loans Board and Tanzania Fertilizer Company Limited.
Prof Assad has undertaken major consultancy projects in public sector finance, business planning, financial modeling, education expenditure reviews, higher education financing, and so forth) at ministerial, international, multilateral and bilateral organisations, as well as a number of major public firms.
He has trained extensively on accounting and management and authored two textbooks and published extensively.
Ms Nyoni is the former Permanent Secretary in the Ministry of Health and Social Welfare, and was suspended over claims of misuse of her position in the civil service. However, she was subsequently cleared alongside Mr David Jairo, former Permanent Secretary in the Ministry of Energy and Minerals. She had previously been PS of the Ministry of Natural Resources and Tourism.
Besides PS being her topmost post, Ms Nyoni was had also served as Accountant General, had also been a lecturer at the Institute of Development and Management, now Mzumbe University together with Mr Utouh.
Before working as Permanent Secretary, she was a commissioner at the Tanzania Revenue Authority as a commissioner.
Mr Maneno is currently the executive director of the NBAA and also serves as chairman of the Dar es Salaam Stock Exchange governing council and the board of the Institute of Directors Tanzania among others.
Source: search for Utouh successor begins - The Citizen