Seapiano sp 5280 partybox inauzwa
bluetooth
ssd
flash
aux
remote
mic
mziki unafaa kwa tafrija ndogo au kwa biashara nyumbani haufai una nguvu sana
bei 330,000
Hamna kitu humo ni makelele tumziki wake ni balaa
kama hupendi kelele haukufai ndo maana nikasema usinunue ukaweka nyumbani.
vi
fanya uamuzi kulingana na uwezo wako.
Mmh hapo tu ulighaili kufungua Pub imechoka hivyo, je ungefungua Pub ungekuwa na hali gani😀sikukumbuka kudai risiti ni uzembe wangu, nilinunua 420,000 sasa kuna biashara nilitaka kufanya (pub) nimegaili ndo maana nauza
aKabisa huo music ni uwezo wa chini sana. Huna music ambao ni classic? Achana na hiyo ya kichina ya kelele
kwani umelazimishwa mkuu izo music classic za mamilioni zipo kazitafute! hii chinese product imejitahidi kwa kiwango chake interested wanakaribishwa.Kabisa huo music ni uwezo wa chini sana. Huna music ambao ni classic? Achana na hiyo ya kichina ya kelele
ndo maan
a
kwani umelazimishwa mkuu izo music classic za mamilioni zipo kazitafute! hii chinese product imejitahidi kwa kiwango chake interested wanakaribishwa.
Hapo sawa.napenda ila
hizo unazotaka wewe sina
150 ipo kaka, kama utaguswa nibariki naosikukumbuka kudai risiti ni uzembe wangu, nilinunua 420,000 sasa kuna biashara nilitaka kufanya (pub) nimegaili ndo maana nauza