Screenshoot Nokia E5

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,361
Reaction score
604
Habari wakuu?

Naomba link za kuweza kupakua app ya screenshoot kwenye simu yangu ya nokia e5(symbian).

Kuna kipindi cha nyuma niliweka simu ikakorofisha ikaflashia kwahiyo na ile app ilifutika.

Nimesahau site ya kuzipata hizo app za screenshoot naomba msaada ili niweke tena maana nilikuwa naenjoi sana kipindi kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…