Habari. Nina google pixel xl, ila imeanguka kwahiyo screen yake imevunjika. Je naweza kupata replacement? Au kwa anaejua sehemu ninayoweza kurepair naomba aniambie. Na bei. Asanteni