Screen ya google pixel

Screen ya google pixel

Cincinnati

Member
Joined
Jul 23, 2019
Posts
24
Reaction score
8
Habari. Nina google pixel xl, ila imeanguka kwahiyo screen yake imevunjika. Je naweza kupata replacement? Au kwa anaejua sehemu ninayoweza kurepair naomba aniambie. Na bei. Asanteni
 
Habari. Nina google pixel xl, ila imeanguka kwahiyo screen yake imevunjika. Je naweza kupata replacement? Au kwa anaejua sehemu ninayoweza kurepair naomba aniambie. Na bei. Asanteni
Doh pole mkuu mtafute Mwalimu RCT yupo humu huwa anakuagizishia kitu mtandaoni toka amazon,ebay na masoko mengine mcheck anaweza kukusaidia hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom