Tangopori JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,628 Reaction score 1,290 Sep 9, 2013 #1 Wanajf naomba kuuliza kama kuna yeyote mwenye uelewa kama kuna sehemu naweza pata screen ya Iphone 4 iwe Arusha au Dar es salaam and how much is it? Maana kuna moja nnayo screen yake imepasuka!
Wanajf naomba kuuliza kama kuna yeyote mwenye uelewa kama kuna sehemu naweza pata screen ya Iphone 4 iwe Arusha au Dar es salaam and how much is it? Maana kuna moja nnayo screen yake imepasuka!