Ps2 Na ps3 inauzwa used second hand.
Ps2----200K(Pamoja na Padi Mbili)
Ps3----180k(250GB Bila Padi)
NOTE: Ps3 Inatatizo ya Disc drive Imekaa mdaa Home,Inawaka vizuri Tatizo ni drive yake, pia kuna cd imejam ndani yake cd ya need for speed pro street...Ndo maana na uza very cheap.
+255 756 412 337
View attachment 101524
Elleza vizur matatizo ya hiyo ps3, ilikkuwaje mpaka ikajam? kabla ya kujam ilikuwa inasoma cd kawaida? Umeichokonoa kwa namna yoyote ile?
Mia vipi?Samahan mkuu, yani Hiyo ps3 ilkua nfanya kazi vizuri lakin madogo zangu nyumbani walikandamiza cd hiyo hiyo nfs ndani bila kujua kwamba inavuta cd automatically...Nafkiri walivunja motor yake yakuvuta cd....ila mara nyingi nachomeka cd hivyo hivyo kwa kulazimisha afu na cheza tu vizuri.....kuchomoa cd ndo Big problem...Ndo mna naiuza so cheap.
Fanya 140 Nakupa Mkuu.Mia vipi?