Scooter for sale: Kinglion Slick 150

Scooter for sale: Kinglion Slick 150

EHK

Member
Joined
May 19, 2011
Posts
80
Reaction score
109
Inatumika, nimekuwa naitumia mwenyewe niliinunua brand new.
Bei: TZS 2.3m
Brand: Kinglion
Model: Slick 150
cc: 150

Serious buyer karibu inbox!
 

Attachments

  • PXL_20251203_050120327.jpg
    PXL_20251203_050120327.jpg
    817.7 KB · Views: 10
  • PXL_20251203_050128048.jpg
    PXL_20251203_050128048.jpg
    963.8 KB · Views: 7
  • PXL_20251203_050137941.jpg
    PXL_20251203_050137941.jpg
    1.2 MB · Views: 9
  • PXL_20251203_050156465.jpg
    PXL_20251203_050156465.jpg
    865.8 KB · Views: 11
Mkuu usipende kulisemea Jambo usilo juwa.
Kakuwekea ushahidi.
Hii ya hapa KingLion ya mchina na ile Yamaha ya mjapani.
Caburator siyo bei kubwa.
Mpya unajua zinauzwaje?
Bei zake mpya izo ni kuanzia 4M up to 8
Ndo mna nimeshangaa sana kuuzwa 300k
 
Thamani ya hela ya Tanzania imeshuka kweli.ila hatujafikia huko.hyo milioni 2.3? Namba D?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom