Scoan team ndani ya Tanzania

Medical report inayoonesha uko phisically okay.

sio hivyo, wanataka medical certificate inayoonyesha kuwa unaumwa kweli kutoka kwa daktari, wanataka wale wagonjwa wenye emergency ndio wapewe kipaumbele cha kwenda. Halafu vile vile itasaidia kwenye kutoa ushuhuda kuwa kweli umepokea muujiza, sio tu useme ulikuwa unaumwa mfano Cancer hivi hivi tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…