Scientific calculators for your use, Wahi!

Scientific calculators for your use, Wahi!

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
Habari za jioni wadau wa elimu?

Niwapongezeni wote mlioweza kupata nafasi za kujiunga na vidato vya juu vya elimu ya Tanzania.

Mkononi hapa nina scientific calculators 2, fx 991, nimezitumia kwa nyakati tofauti kwa matumizi ya shule, zimenisaidia sana kutatua hesabu za statistics na quantitative methods.

Sasa naziuza, muda wake wa matumizi umefikia ukingoni!

Dau kwa calculator ni Tshs 18,000. (Bei halisi ya calculator halisi dukani nadhani mwaifahamu). Bei Imepunguzwa sababu ya depreciation.

Niko Dar.

Nipigie au nitumie ujumbe mfupi kwa 0653-811-003

Karibuni sana.
 
Kitu used, wapunguzie bei mkuu. Afu watoto wa siku hizi wana app kwenye simu na PC zinazokokotoa kisayansi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom