Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,174
- 30,655
Sasa ukishindwa kupata majibu kuhusu "Existence of the universe" ndio useme kuna Mungu?Mimi kama mmoja wa watu walioisoma Science kwa takriban miaka 11++ nakubaliana kabisa na uwepo wa Mungu mmoja tu, asiye na mshirika na mwenye mamlaka yote na sikubaliani kabisa na hoja zako sijui za mungu baba, mwana nk nk nk.
Kuna mambo mengi serious ya msingi yanayofanya wanasayansi waamini uwepo wa Mungu mmoja tu na mwenye mamlaka yote; hasa tunapo shindwa kupata majibu ya mambo flani flani kuhusu existence of the universe; pamoja kwamba kuna baadhi ya wana saiyansi mahiri walikuja na theory zao mfano; "The Big Bang theory" ambayo ni maarufu sana ila zote ni habari za kusadikika!
Hapana, wewe hupati kuamua tuishie wapi.Mkuu tuishie hapa, maana umeishiwa hoja.
Kama umebahatika kusoma Sayansi vizuri na sio blaa blaa za mtaani...Sasa ukishindwa kupata majibu kuhusu "Existence of the universe" ndio useme kuna Mungu?
Kwanza Huyo Mungu Ulijuaje yupo?
Huyo Mungu aliwezaje ku exist tu mwenyewe from nowhere?
Mbona hujiulizi na huyo Mungu ali exist vipi?
Kwa nini unataka tu, Universe iwe na existence?
Hakuna science inayo support muumbaji wa kila kitu kupitia Atom.Mkuu kutokubaliana nami, wala sio tatizo.
Nilichowasilisha mimi ni kua hata science inasupport muumbaji mmoja wa kila kitu anaezungumziwa ktk maandiko kupitia atom.
Kama kila kitu kina mwanzo, Mwanzo wa Mungu ni nini?Kama umebahatika kusoma Sayansi vizuri na sio blaa blaa za mtaani...
unafaham kuwa, kila kitu kina mwanzo,
Je kama mwanzo Haupo, Kwa nini unalazimisha universe iwe na mwanzo?na kama vitu tulivyo navyo mfano; universe kwa research zetu zote hatujaweza kupata theory yenye uhakika ya kuelezea mwanzo wake
Ina maana kuna kitu au nguvu iliyofanya hivi vitu viwepo na hiyo nguvu ndio tunaiita Mungu...
Hakuna sayansi, dini au imani yeyote ile inayoweza kuthibitisha pasi shaka chanzo cha ulimwengu.Ni somo technical ila sitaki kukuelezea kisayansi kwani najua nawasiliana na watu wengi hapa
Kumbe nyinyi ambao mnaamini hakuna Mungu hamuna tofauti na mtoto aliyezaliwa Leo?Sahihi umesema, Watu huzaliwa bila ufahamu. Na kama huna ufahamu pia huwezi kuwa na imani au dini
Atheist ni mtu asiye na imani ya aina yeyote ile.
Mtoto anapozaliwa anakuwa hana ufahamu wala imani ya aina yeyote ile. Mpaka pale atakapo aminishwa na kupewa imani/dini kutoka kwa wazazi au walezi wake.
Una elewa hilo?
Wewe umeshajua Mungu yupo na una IQ kubwa, Sasa Thibitisha uwepo wa huyo Mungu wako unayejua yupo.Kumbe nyinyi ambao mnaamini hakuna Mungu hamuna tofauti na mtoto aliyezaliwa Leo?
Kama ni hivyo mna haki ya kusema hakuna Mungu mkikuwa wakubwa kama sisi mtakubali kuwa Mungu yupo
Mtoto anapozaliwa anakuwa hana ufahamu Yani IQ yake inasoma zero
Akisha pata ufahamu ndio anajua kuwa Mungu yupo
Hadi hapo tayari umeshafeli unaonekana unaogopa kufanya discussion kuhusu Mungu Kwa kutumia mandiko ya MunguWewe umeshajua Mungu yupo na una IQ kubwa, Sasa Thibitisha uwepo wa huyo Mungu wako unayejua yupo.
Ili sisi tusiomjua yupo, tupate kumjua yupo.
Usilete hekaya za vitabuni huko kwenye Biblia na Quran kwamba ndio uthibitisho.
Mthibitishe huyo Mungu wako, yeye kama yeye. Pasipo kutumia vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence.
Au ukishindwa kumthibitisha huyo Mungu wako, Mwambie ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujithibitisha yupo, Kama ana huo uwezo.
Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu, Kwani yeye hana uwezo wa kuja kujieleza na kujidhihirisha mwenyewe?
Hiyo logic uliyotumia haina nguvu, kusema kwamba Mungu ni Atom ,Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).
Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).
Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Maandiko ya Mungu yapo mengi sana, kila andiko lina ongelea Mungu wake.Hadi hapo tayari umeshafeli unaonekana unaogopa kufanya discussion kuhusu Mungu Kwa kutumia mandiko ya Mungu
Mimi siamini kwenye kuamini.Kama kweli ungekuwa na uhakika na unachokiamini usingeogopa maandiko ya Mungu badala yake wewe ungevunja hizo hoja za maandiko ya Mungu Kwa kutumia mandiko ya Imani yako maana mnaya hayo mandiko yalioandikwa na mbumbu wenzako Kuna sehemu niliona umenukuu sijui athletic 27:5
Hakuna maandiko ya Mungu.Ila labda nikuambie kitu hauna uwezo wa kupinga uwepo wa Mungu Kwa vyovyote vile iwe Kwa kutumia
1) Mandiko ya Mungu
Hapa na wewe utamia mandiko yako ya athletic
Sayansi haina facts zozote za uwepo wa Mungu.2) Kisayansi hapa zitaangaliwa facts
Akili za binadamu ndio zilimtunga Mungu vichwani mwao.3) Kwa kutumia akili za kibinadamu
AWewe umeshajua Mungu yupo na una IQ kubwa, Sasa Thibitisha uwepo wa huyo Mungu wako unayejua yupo.
Ili sisi tusiomjua yupo, tupate kumjua yupo.
Usilete hekaya za vitabuni huko kwenye Biblia na Quran kwamba ndio uthibitisho.
Mthibitishe huyo Mungu wako, yeye kama yeye. Pasipo kutumia vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence.
Au ukishindwa kumthibitisha huyo Mungu wako, Mwambie ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujithibitisha yupo, Kama ana huo uwezo.
Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu, Kwani yeye hana uwezo wa kuja kujieleza na kujidhihirisha mwenyewe?
Umeandika maelezo mengi ila point ni Moja tu hautaki kumjua Mungu kupitiaMaandiko ya Mungu yapo mengi sana, kila andiko lina ongelea Mungu wake.
Kuna Biblia, Quran, The veda, Tripitaka, The Kojik, The Guru Granth sahib, Tao-Te ching, Rastafar Bible n.k
Na yote haya yana maelezo tofauti kuhusiana na Mungu.
Mpaka hapa huwezi kutumia maandiko ya kidini kama uthibitisho, Maana kuna maandiko mengi sana yote yakidaiwa ni ya Mungu.
Mimi siamini kwenye kuamini.
Sina imani ya aina yeyote ile.
Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uthibitisho na uhakika.
Hakuna maandiko ya Mungu.
Yote ni maandiko ya kibinadamu yaliyo andikwa na wanadamu kuhusu dhana ya kufikirika mliyo jitungia vichwani mwenu na kuiita Mungu.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Sayansi haina facts zozote za uwepo wa Mungu.
Kwa sababu Mungu ni dhana ya kutungwa tu, imaginations just an illusion
Akili za binadamu ndio zilimtunga Mungu vichwani mwao.
Human beings created God through assumptions based on things beyond their imaginations.
Hakutokea mahali popote pale.Umeandika maelezo mengi ila point ni Moja tu hautaki kumjua Mungu kupitia
Maandiko yake wala Sayansi ila unataka kumjua kupitia akili yako na kuthibitisha
Sasa ngoja nikufundishe kumjua Mungu kupitia akili yako
Jibu hili swali
Mtu wa kwanza katika kizazi chenu alitokea wapi?
Nikikutana na mawazo kama yako [emoji23][emoji23] huwa nawaza nafika mbali sana. Nafikiri kuna vibaraka wa shetani moja kwa moja wanao pinga uwepo wa Mungu na na Malaika wa shetani wanao ishi na sisi kwa sura za kibinadamu."Vijana kama wewe mna mchango mdogo sana Kwa taifa"
Mungu ni nini au nani? Tuambie kwanza kabla hatujaendelea
Hivi wewe unaona hapo Kuna jibu la hili swali nililokuliza kuwaHakutokea mahali popote pale.
Alikuwepo duniani na alitoka kwa kizazi chake.
Hakutokea mahali.Hivi wewe unaona hapo Kuna jibu la hili swali nililokuliza kuwa
Mtu wa kwanza katika kizazi chenu alitokea wapi?
Kama haujui Sema haujui
Okay kwahiyo mtu wa kwanza aliyeanzisha kizazi chenu Hadi na wewe ukazaliwa alizuka hapa DunianiHakutokea mahali.
Unataka jibu gani zaidi?
Get more confused by this :Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).
Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Chumvi ikiharibika itiwe nini ili ikolee?Okay kwahiyo mtu wa kwanza aliyeanzisha kizazi chenu Hadi na wewe ukazaliwa alizuka hapa Duniani
Kwani Hadi Sasa hawaendelei kuzuka watu wengine?
Nini kinachozuia wasiendelee kuzuka watu wengine Ili waendelee kuzaa vilaza kama wewe?