SCI-FI MOVIES

Miongoni mwa film zilizo nishinda ni hizo na zile za India.
 
Warcraft
Venom
Jupiter Ascending
Mortal Engines
Blade
Dune
Avatar
Men in Black
Star wars
Lord of the Rings
Spiderhead
The Adam project
Spider Man
Iron Man
Super Man
Bat Man
Love and Monsters
Gemin Man
The Matrix
Black Crab
Rampage
Venom movie kali sana
 
Movie safi sana hizo.

Ila tunashindwa kutofautisha kati ya movie za sci-fi na fantasy.
 
Fantasy inaweza isiwe sci-fi
Ndio mkuu, ila movie kama warcraft, lord of the rings, harry potter and the like hizo ni pure fantasy.

Iron man 1, 2 na 3, captain america 1,2,3, terminator zote, interstellar, tenet etc ni pure SCIFI.
 
Ndo ipi hiyo
Seal Team inahusu special force moja ya marekani , Navy Special Warfare Development Group(wenyewe wanajiita DevGru, sisi tunawajua kama Navy seal team 6) na vimakundi vyake vidogo vidogo.

Avator ya mkuu mmoja huko juu ni picha ya mmoja wa main characters wa kwenye hiyo series.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…